Mbappe unahodha atausikia tu

Mbappe unahodha atausikia tu

Mchezaji wa PSG, Kylian Mbappe amepigwa chini na wachezaji wenzake kwenye mchakato wa upigaji kura kuchagua nahodha mpya wa mabingwa wa Ufaransa.

Ni baada ya ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo, Luis Enrique kuwaambia wachezaji wake kuwa anahitaji nahodha mpya wa kikosi chake kwa ajili ya msimu huu.

Na kuwataka wachezaji hao kupiga kura ya siri kumchagua anayefaa na hapo ndipo jina la Mbappe lilipokatwa kabisa katika mchakato huo na kushika namba nne.

Kwa mujibu wa gazeti la Ufaransa la RMC Sport limeripoti kuwa kwenye hizo kura za kumsaka nahodha, Marquinhos ametajwa kuwa namba moja, akifuatiwa na Danilo Pereira na namba tatu ni Presnel Kimpembe






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags