Mavoko akanusha kujiunga kings music

Mavoko akanusha kujiunga kings music

Msanii wa muziki wa  BongoFleva Rich Mavoko ameamua kuwajibu walimwengu kuhusiana na  kuonekana kwake  karibu na lebo ya Kings Music Records  ambapo amesema kuwa ni jambo la  kawaida kwa sababu ni familia yake na ana ukaribu na Alikiba.

Hata hivyo Mavoko ameongeza kusema watashirikiana kwenye masuala ya kazi lakini kuhusu kusainiwa Kings Music Records ni suala ambalo hata hawaliwazii.

Ebwanaa eeeh!! Unaseamje mdau kuhusiana na kauli hiyo ya mavoko?toa maoni yako kupitia www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags