Maua Sama atengeneza nyimbo ya DK 23

Maua Sama Atengeneza Nyimbo Ya DK 23

Unaambiwa kwamba hakuna linashindikana ukiamua ndivyo inajidhihirisha kwa msanii wa muziki nchini Maua Sama ambaye amesema kwamba kuna ngoma amerekodi ina dakika takribani 23 ikiwa na verse 14, chorus 5 na verse nyingine 2.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Maua ameandika “I decided kutengeneza track moja ndefu ina dakika 23 iko na verse 14, chorus 5, verse 2 wamefanya brothers beat imepigwa na Producer.

“Nimekata Dk 7 nimepata video 4 ni muziki mzuri sana trust me, put some respect on my name MauaKobeSama 13th May – 31 December 2022,” ameandika Maua

Tuambie msomaji wetu kwa urefu wa wimbo huo unadhani itakuwa ni project gani hiyo ikiwa amepata video nne katika wimbo huo mmoja.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.


Latest Post