Matokeo ya Yanga kicheko kwa Zamaradi, Amshukuru Hersi

Matokeo ya Yanga kicheko kwa Zamaradi, Amshukuru Hersi

Zamaradi Mketema aendelea kuonesha furaha aliyonayo baada ya mchezo wa jana Simba kutandikwa bao tano na Yanga, kutokana na furaha hiyo Zamaradi ametoa shukrani kwa Rais wa Yanga Hersi Said pamoja na 'timu' nzima.

Zamaradi ametoa shukrani hiyo kwa niaba ya mashabiki wa Yanga huku akidai kuwa mashabiki wameheshimishwa na wanaamini mbele ya vicheko na burudani wanazopata nyuma kuna mipango thabiti ya mtu na kiongozi makini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags