Moja kati ya habari njema kabisa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2022 ni haya hapa kama ifuatavyo.
Matokeo ya mitihani ya kidato cha sita 2022 yametangazwa leo huku ufaulu ukiwa umeongezeka kwa asilimia 99.87 dhidi ya asilimia 99.62 ya mwaka jana.
Watahiniwa 93,136, sawa na asilimia 98.97 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98. 55 na wavulana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98.55.
Samba na hayo Mwanafunzi bora ambaye ameongoza kwenye mtihani huo wa kidato cha sita ni Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – kutoka Shule ya St. Mary's Mazinde Juu Tanga.
Leave a Reply