Mastaa wafulika kumpongeza Lamata, Anatarajia kupata mtoto wa kiume

Mastaa wafulika kumpongeza Lamata, Anatarajia kupata mtoto wa kiume

Muongozaji wa filamu nchini Lamata anatarajia kupata mtoto wa kiume, lamata ameweka wazi kwa ku-share katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na marafiki na watu maarufu mbalimbali katika sherehe ya kufichua jinsia ya mtoto huyo anaye mtarajia.

Kupitia video hiyo aliyo-post Lamata  ameisindikiza na ujumbe usemao,

“God did, kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa ukuu wake, pili nipende kuwashukuru ndugu, jamaa na marafiki kwa kuweza kufanikisha gender reveal hii, mwenyezi mungu awabariki sana, I cant wait to see you my baby boy”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags