Mastaa wa Nigeria waikalisha Man United

Mastaa wa Nigeria waikalisha Man United

‘Klabu’ ya #ManchesterUnited wamepokea kichapo cha mabao 2-1 na ‘klabu’ ya #Fulham siku ya jana kwenye muendelezo wa Ligi Kuu England.

Inaelezwa kuwa mabao hayo mawili yalifungwa na ‘mastaa’ kutoka nchini Nigeria ambao wanaichezea ‘timu’ hiyo ambapo bao la kwanza lilifungwa na #CalvinBassey dakika ya 65 na #AlexLwobi kutamatisha bao la pili katika dakika za nyongeza.

Mchezo huo umeifanya Man United izidi kujiweka kwenye hatari ya kutofuzu’logo’ ya Mabingwa kwa msimu ujao kwani hadi sasa inashika nafasi ya sita ikiwa na pointi 44 baada ya kucheza mechi 26.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags