Mashabiki waumia Quavo kula hot dog ya gharama

Mashabiki waumia Quavo kula hot dog ya gharama

Rapper Quavo, kwenye ziara yake ya nchini Ufaransa ameonekana akila chakula cha gharama licha ya chakula hicho kuwa na umbo dogo.

Quavo, bila kutaja mgahawa aliokuwepo ameonesha video akiwa anakula hot dogo ya gold yenye thamani ya $100K ambazo ni zaidi ya tsh 250k.

Kufuatia video hiyo imepelekea mashabiki kuonesha hisia zao za kuumizwa na msanii huyo kutumia pesa nyingi kwenye chakula huku wengine wakidai ni matumizi mabaya ya pesa.

 

Tuambie chakula gani cha bei umewahi kununua?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags