Mashabiki waikosoa tattoo ya Billie

Mashabiki waikosoa tattoo ya Billie

Mashabiki wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Billie Eilish wameikosoa tattoo mpya ya msanii huyo aliyo ichora mgongoni.

Tattoo hiyo imezua taharuki kwa mashabiki wake baada ya ku-post sehemu ya tattoo yake katika ukurasa wake wa Instagram.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 21 amewashangaza baadhi ya mashabiki wake kwa sababu tattoo hiyo haikueleweka ina maana gani na sehemu iliochorwa.

Tattoo hiyo ya kustaajabisha imechorwa sehemu ya mgongo mpaka shingoni haikuonesha maana rasmi ya kitu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags