Martínez avunja ‘rekodi’ ya kutoruhusu mabao

Martínez avunja ‘rekodi’ ya kutoruhusu mabao

Mlinda mlango wa ‘timu’ ya taifa ya Argentina, Emiliano Martínez anayecheza kwenye ‘klabu’ ya Aston Villan amevunja ‘rekodi’ baada ya kufikisha dakika 621 bila ya kuruhusu bao katika lango la ‘timu’ hiyo.

Martínez amefikisha dakika hizo bila kutoa ‘goli’, na kuipita ‘rekodi’ ya awali iliyowekwa na Sergio Goycochea ya mwaka 1991.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags