Mandonga: Nilitamani kujinyonga kisa mapenzi

Mandonga: Nilitamani kujinyonga kisa mapenzi

Bondia maarufu ambae alipata umaarufu huo baada ya kushindwa mpambano wake ameeleza kuwa kwenye upande wa mapenzi aliwahi kutamani kujinyonga kisa mapenzi kwa jinsi ambavyo alikuwa amefuka ameoza kwa mwanamke wake,

Karim amefunguka hayo kupitia mahojiano yake na kusema kuwa “nilitamani kujinyonga kisa mapenzi,kuna mtu mmoja alijichanganya akataka kunipora tonge langu mwaka kama 2005 hii kitu iliniaffect kichizi yani bondia anatamani kukaa kwenye kitanzi sio poa maana mimi nilikua nimekwama nimeoza yani” aliendelea kwa kusema

“harafu mtu anataka anipore tonge mdomoni, mwamba alikua anatuma vizagazaga vingi mara kuku mara chips, mpaka wadogo zangu wakaniambia bro jipange kuna mtu anaweza kumtorosha shemeji wakati wowote maana pikipiki inaingia kila” amesema Mandonga mtu kazi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags