Mandonga apokea  kichapo kutoka kwa Moses

Mandonga apokea kichapo kutoka kwa Moses

Bondia Karim Mandonga amekalishwa tena kwa kupokea kichapo kutoka kwa bondia wa Uganda, Moses Golola.

Bondia  Golola amemtoa Mandonga njee ya mchezo kwa technical knock out (tko) 'raundi' ya tatu katika pambano lililochezwa siku ya  jana jijini mwanza.

Nikukumbushe kuwa zimepita  siku 8 tu tangu mandonga apokee kipigo kutoka kwa bondia daniel wanyoni wa kenya, julai 22 mwaka huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags