Manara: Zaylissa akinisaliti namfukuza

Manara: Zaylissa akinisaliti namfukuza

Aliyekuwa Afisa habari wa ‘klabu’ ya #Yanga #HajiManara amedai kuwa mke wake mtarajiwa #Zaiylissa akifanya makosa yoyote atamsamehe isipokuwa kosa la kumsaliti  atamrudisha kwao.

Akiwa mbele ya vyombo vya habari nchini amesema kuwa kitu kikubwa na kibaya ni kusalitiwa na mke weke mtarajiwa, endapo ikitokea atamrudisha kwao kwa sababu hawezi kuvumilia usaliti na ndiyo maana anaoa mara kwa mara.

Hata hivyo Manara amesema mke lazima atatongozwa na wanaume wengine lakini anatakiwa  ajitambue mwenyewe.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags