Manara Aoa Mke wa Pili

Manara Aoa Mke wa Pili

Ebwana eeh!!Moja kati ya story ambayo imesambaa mitandaoni ni hii hapa inayomuhusu  Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara ameamua kuongeza  mke wa pili jioni ya jana.

Manara ameshare picha za ndoa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika ujumbe mfupi wa maneno uliosomeka hivi” “Haikuwa rahisi lakini kila jambo linautaratibu wake vile Muumba wetu alivyolijaalia”Manara

“Thanks baba na mama yangu kwa barka zenu kwetu na karibu mke wangu kwenye familia yetuAlhamdulillah” huku akipokea pongezi kutoka kwa watu mbalimbali.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags