Manara akanusha kumpeleka Makabila polisi

Manara akanusha kumpeleka Makabila polisi

Aliyekuwa msemaji wa #Yanga, Haji Manara amekanusha tetesi za mitandaoni kuhusiana na yeye kumpeleka msanii wa Singeli Dulla Makabila polisi.

Akizungumza na Manaratv, Haji amefunguka na kueleza kuwa hajawahi kumpeleka mtu polisi hivyo basi hausiki na tetesi hizo huku akiweka wazi kuwa, polisi walimpigia #Zaylissa na kutaka kujua kuhusiana na clip, ‘meseji’ zinazosambaa mitandaoni kwamba Dulla ametishiwa kusambazwa kwa video zake chafu, hivyo msanii huyo ameitwa na polisi wenyewe lakini hakuna aliyemshitaki.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Haji Marana alimtumia Sms Makabila (DM) za vitisho zilizokuwa zikieleza kuwa atatuma Sms na video zote ambazo Makabila alizokuwa akijiliza kwa Zaylissa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags