Man U wamuwinda beki wa Inter Milan

Man U wamuwinda beki wa Inter Milan

Inadaiwa kuwa klabu ya #ManchesterUnited imepanga kuweka dau nono kwa ajili ya kumununua beki wa klabu ya #InterMilan, #AlessandroBastoni kabla ya dirisha la usajili msimu ujao kuanza.

Kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa Man United wako tayari kutoa kiasi kikubwa cha fedha ili kumpata mchezaji huyo huku Inter Milan ikiwa bado haijafanya maongezi yoyote kuhusu ofa hiyo.

Hata hivyo mchezaji huyo kutoka nchini Italia mwenye umri wa miaka 25 aliingia Inter Milan mwaka 2017 kwa dau la Euro 31 milioni na amekuwa mchezaji bora katika misimu yote ‘klabuni’ hapo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags