Mambo yazidi kuwa mazuri kwa Ommy na Diamond

Mambo yazidi kuwa mazuri kwa Ommy na Diamond

#DiamondPlatnumz na #OmmyDimoz wakiwa pamoja ndani ya ndege, ukaribu wa wawili hao umezidi kuonekana mara baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu.

Ikumbukwe kuwa wawili hawa waliwahi kuwa pamoja kwenye wimbo wa “Utamu” wakiwa pamoja na Dully Sykes na wimbo wa “Prokoto” wakiwa na Victoria Kimani.

Je unatamani ‘kolabo’ kutoka kwa wawili hao baada ya miaka mingi kupita?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post