Majuto yafanya Kylie Jenner na Travis Scott wabadili jina la mtoto wao

Majuto yafanya Kylie Jenner na Travis Scott wabadili jina la mtoto wao

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott na mzazi mwenziye Kylie Jenner wamekubaliwa na mahakama kubadilisha jina la mtoto wao ambapo mwanzo alikuwa akiitwa Wolf Jacques Webster lakini kwa sasa Aire Webster.

Kwa mujibu wa TMZ news inaelezwa kuwa Kylie aliwasilisha hati ya kubadilisha jina la mtoto Machi mwaka huu kutokana na kujutia kumuita mtoto huyo Wolf Jacques na kudhani kuwa jina la Aire litafaa zaidi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags