Madebe: Kama una miaka 30 na hauna mtoto umefeli

Madebe: Kama una miaka 30 na hauna mtoto umefeli

Mwigizaji wa filamu za Bongo Movie Madebe amedai kuwa ukifika miaka 30 bado ukawa haujapata mtoto basi ‘umefeli’ kwa sababu yeye anaamini sasa hivi kuishi mwisho ni miaka 45 baada ya hapo mtu unaishi kwa ‘bonasi’ tu.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari msanii huyo ameeleza kuwa ukipata mtoto ukiwa na miaka 30 lazima utamlea mtoto mpaka utakapo fariki bila kula matunda ya mtoto au watoto wako yaani akimaanisha kizazi chako kitakuwa tegemezi.

Hata hivyo amesema kama ukipata mtoto ukiwa na umri kuanzia miaka 18 kuna ‘gape’ refu ambalo unaweza kulea kizazi chako na ukaja kukitegemea kabla ya kufikia miaka 30.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags