Mac voice kuja na Album

Mac voice kuja na Album

Yees!!tegemea kukutana na Album mpya kutoka kwa msanii  Macvoice  kutoka label ya NLM siku za hivi karibuni nikwambie tu kwamba Mac ametoa taarifa hizo kwa mashabiki zake kupitia Instagram yake.

 Ambapo Ameandika......."Album is Loading... ''

Ungependa kukutana na kolabo za wasanii gani katika Album hii ya Msanii  Macvoice tz?.

Aiseee sio pouwa kwa mashabiki wa msanii huyo unaweza kudonodsha comment yako hapo kupitia website yetu www.mwanachiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags