Maambukizi ya Homa ya nyani yafika 70,000 ulimwenguni

Maambukizi ya Homa ya nyani yafika 70,000 ulimwenguni

 

katika mlipuko wa homa ya nyani sasa imefikia 70,000 kote ulimwenguni, huku ikionya kuwa kupungua kwa maambukizi mapya haimaanishi kuwa watu wanapaswa kutochukua tahadhari.

WHO imesema idadi ya maambukizi wiki iliyopita ilikuwa imeongezeka katika nchi kadhaa za Amerika na kusisitiza kwamba kushuka kwa maambukizi mapya kunaweza pia kuwa wakati "hatari zaidi" katika mlipuko wa ugonjwa huo.

Katibu Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema hadi sasa watu 26 ndio wameripotiwa kufariki na ugonjwa wa homa ya nyani ambayo iliibuka mwezi Mei katika mataifa ya Magharibi hasa miongoni mwa wanaume wanaodiriki mapenzi ya jinsia moja.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags