Maajabu ya mjusi Gecko

Maajabu ya mjusi Gecko

Kwenye video ni mjisi aitwaye Gecko, ana sifa za kipekee ngozi yake inauwezo wa kutiririsha maji, yaani hailowi maji kabisa kitendo hicho humsaidia kupata fangasi na bakteria wengine.

Mbali ya kuwa na sifa hizo mjusi huyu anatabia ya kujivua gamba lake mara kwa mara kama mijusi wengine, lakini utofauti wake ni kwamba yeye akijivua hula gamba lake ili wawindaji/ maadui wasigundua sehemu alipo kwani gamba hilo hutoa harufu ambayo husaidia wawindaji kujua alipo.

Geckos pia huwa na tabia ya kutoa milio mbalimbali kwa lengo la kutisha maadui wake, pia mjusi huyu hutoa mlio wa ndege wakati hana furaha, ana hofu, au ana njaa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags