Lunya kwa MwanaFA ni mfalme

Lunya kwa MwanaFA ni mfalme

Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma #MwanaFA, amemtambulisha rapper #YoungLunya kama ‘Mfalme’ wa Hip-hop kupitia ukurasa wake wa X/Twitter.

MwanaFA ambaye ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ameweka utambulisho huo wa “King” kwenye jina la Lunya wakati akiumwagia sifa wimbo wa msanii #Dayoo unatambulika kama ‘Handsome’ ambao wimbo huo Rapa Lunya ameshirikishwa.

Je, unaungana na Mwana FA kuwa Lunya ni ufalme kwenye Hip-hop ya Bongo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags