Lucas ataisikia Man City kwenye bomba

Lucas ataisikia Man City kwenye bomba

Inadaiwa kuwa ‘klabu’ Manchester City walifanya makubaliano na ‘klabu’ ya #WestHam kumchukua #LucasPaqueta kwa ada ya Pauni 85 milioni kabla ya dili hilo kusimama kutokana na tuhuma za kubeti zinazomkabili fundi huyo wa kimataifa wa #Brazil.

Ingawa mwanzoni kabla hawajafikia makubaliano West Ham ilihitaji Pauni 95 milioni ili kumuuza staa huyu lakini baada ya majadiliano ‘timu’ hiyo ikakubali kushusha bei.

Lakini wakati wowote dili hilo linaweza kuvunjika kutokana na kiungo huyu kuchunguzwa kwa ukiukaji wa kanuni za ‘kubeti’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags