Lil Wayne adai ndiye mwanzilishi wa tattoo za usoni

Lil Wayne adai ndiye mwanzilishi wa tattoo za usoni

Rapper kutoka nchini Marekani #LilWayne amedai kuwa anaamini yeye ndiye sababu kubwa ya watu wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye nyuso zao, ameeleza hayo  kupitia moja ya mahojiano nchi humo.

@liltunechi  amekuwa akichora tatto ambazo kila mchoro una maana yake mfano mchoro wa herufi “C” juu ya macho yake inawakilisha herufi ya ya jina la Mama yake “Jacida Carter.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags