Leo dunia inaadhimisha siku ya soksi zilizopotea

Leo dunia inaadhimisha siku ya soksi zilizopotea

Kila ifikapo tarehe ya leo Mei 9, ulimwengu unaadhimisha siku ya soksi zilizopotea.

Katika siku hii mataifa mbalimbali husherehekea kwa kutupa soksi zilizobaki ambazo hazina mwenzake pamoja na kwenda kununua mpya.

Aidha kwa mujibu wa tovuti ya ‘Awareness days’ imetoa maelekezo kuhusiana na namna ya kutunza soksi ili zisipotee mara kwa mara, ikiwemo kuziunganisha kwa pamoja, tengeneza droo maalumu kwa ajili ya soksi zako, kuepuka kuchanganya soksi na nguo nyingine pamoja na kufua soksi peke yake.

Nini maoni yako kuhusiana na siku hii?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post