Lavalava: Kwangu imekuwa ngumu kujumuika na wasanii wengine

Lavalava: Kwangu imekuwa ngumu kujumuika na wasanii wengine

Mwanamuziki wa BongoFleva #Lavalava awajibu watu wanaosema kuwa anajitenga na yupo kimya tofauti na wasanii wengine.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini msanii huyo ameeleza kuwa imekuwa ngumu sana yeye kujumuika na wasanii wengine na kujiweka katika mazingira ambayo watu wengi wanatamani kuona akiyaishi kutokana na sababu zake binafsi.

Lavalava amesema kuwa pamoja na ukimya wake na kutojumuika na wasanii wengine anajivunia kuwa akitoa wimbo una ‘hit’ na anadai haimpi shida yoyote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags