Kylie Jenner na Timothée penzi lakolea nazi

Kylie Jenner na Timothée penzi lakolea nazi

Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kylie Jenner na mpenzi wake Timothee Chalamet wamedhihirisha penzi lao hadharani kwenye tamasha la Beyonce baada ya ‘kamera’ kuwanasa wakiwa wana-kiss.

Wawili hao walionesha mapenzi yao wazi kwenye onyesho maalumu la Beyonce wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 42 kwenye Uwanja wa SoFi uliyopo Los Angeles.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags