Kylie Jenner aungwa mkono na shirika la Israel

Kylie Jenner aungwa mkono na shirika la Israel

Baada ya baadhi ya watu kuchukiza na kitendo cha  mfanyabiashara Kylie Jenner kwa kuonekana akiiunga mkono nchi ya Israel hatimaye amepata utetezi kutoka kwa mashirika ya nchi hiyo.

Roz Rothstein, mwanzilishi mwenza na Mkurugenzi Mtendaji wa Stand With Us, kwenye mahojiano aliyofanya na TMZ ameeleza kuwa shirika hilo limefurahishwa sana na kitendo alichokifanya mwanadada huyo kwa sababu alikuwa ni mtu maarufu pekee aliyeonesha kuunga mkono taifa hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags