Kylie Jenner apoteza mashabiki kwa kuiunga mkono Israel

Kylie Jenner apoteza mashabiki kwa kuiunga mkono Israel

Mrembo Kylie Jenner amejikuta akipoteza wafuasi wake katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka ‘posti’ kupitia InstaStory yake ikionesha anaiunga mkono  Israel.

Kitendo hicho kilipelekea mashabiki kumuwashia moto mrembo huyo wakionesha kutopendezwa na ‘posti’ hiyo huku baadhi ya mshabiki wakimtishia kutonunua bidhaa zake za urembo.

Huku wengine kumu-unfollow mrembo huyo, ndipo  akaamua kufuta post hiyo, ambapo mpaka sasa amepoteza zaidi ya wafuasi 120,000 kwenye mtandao wake wa Instagram.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags