Kwenye GRACE ya Otile, yumo Rayvanny, Baraka, Eddie Kenzo

Kwenye GRACE ya Otile, yumo Rayvanny, Baraka, Eddie Kenzo

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #OtileBrown, ametoa orodha ya nyimbo 11 zilizopo kwenye albamu yake mpya 'GRACE', inayotarajiwa kutoka Februari 23, 2024.

Ndani ya albamu hiyo Otile kafanya kolabo ya wasanii kutoka Afrika Mashariki kama vile #Rayvanny, #EddieKenzo, #ReekadoBanks, Nameless, Femi One, Baraka The Prince, Morgan Heritage, na GB.

Awali Otile amewahi kuachia albumu ya ‘Just in Love’ (2020) na EP ya ‘UPTOWN FLEX' aliyoitoa mwaka 2022.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags