Kwa mara ya kwanza video ya mauaji ya Tupac yaoneshwa

Kwa mara ya kwanza video ya mauaji ya Tupac yaoneshwa

Kufuatia tukio ya kukamatwa kwa rafiki wa aliyekuwa mwanamuziki Tupac, hatimaye kwa mara ya kwanza ushahidi wa tukio hilo umeweza kuoneshwa.

Picha ambazo hazijawahi kuonekana za eneo la uhalifu na video za usiku aliopigwa risasi zimeonekana, uwepo wa video na picha hizo unatajwa zitakuwa mwanga wa kufumbua mafumbo menge juu ya tukio hilo.

Picha na video hizo zinaonesha tangu Tupac na "Suge" Knight wakiondoka MGM Grand. Hata hivyo ikumbukwe kuwa week iliyopita Duane "Keffe D" Davis mwenye umri wa miaka 60 alifunguliwa mashitaka kuhusiana na mauaji ya ‘rapa’ huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags