Kusah: Kumuongelea mpenzi wa ex wako ni kutojitambua

Kusah: Kumuongelea mpenzi wa ex wako ni kutojitambua

Baada ya dancer wa Diamond #MoseIyobo,kudai kuwa anamuona msanii wa #BongoFleva #Kusah kama mtoto wake huku akitoa maneno mengi dhidi ya mwanamuziki huyo sasa kwa upande wa #Kusah ameendelea kurudisha mashambulizi kwa kumjibu #Mose kwa yale asemayo.

#Kusah amefunguka kwenye #Interview aliyofanya na moja ya Chombo cha Habari, baada ya kuulizwa alipokea vipi maneno ambayo anatupiwa na #MoseIyobo. Kusah alijibu kwa kusema,

“Mimi nilipokea simple sana huo ujumbe wake, kwanza mimi ninapesa kumzidi yeye, alikuwa anatakiwa afike mbali kunizidi mimi kwa umri wake,

Ukiwa mwanaume inabidi uwe straight sana sometimes hutakiwi kuingia kwenye maisha ya mwanaume mwenzako kwa sababu yatakuvuruga kumuongelea mpenzi wa ex wako ni kutokujitambua”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags