Kusah kuacha muziki

Kusah kuacha muziki

Msanii wa muziki wa bongo fleva Kusah ambaye anafanya vizuri kupitia ngoma yake ya I wish ametoa kauli ya kuachana na muziki.

Kusah ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo kimoja cha habari hapa nchini baada ya kueleza kuwa anampango wa kutoa project yake tarehe 17 mwezi ujao na endapo isipo Hit ataacha muziki kabisa.

“Natoa Project Yangu Tarehe 17 Mwezi Ujao na Isipo-Hit Naacha Muziki Kabisa"

Aisee unaonaje kauli aliyotoa msaani huyo kuhusu suala la kuacha muziki kabisa? Dondosha comment yako hapo chini kupitia www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags