Kumtusi mwamuzi kumemponza Reece James

Kumtusi mwamuzi kumemponza Reece James

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, Reece James, amefungiwa kutokucheza ‘mechi’ moja pamoja na faini ya 270 milioni, kwa kosa la kutumia lugha chafu dhidi ya mwamuzi wa ‘mechi’ baada ya ‘timu’ hiyo kufungwa bao 1-0 na ‘klabu’ ya Aston Villa mwezi uliopita.

Nahodha huyo alikiri kuonesha tabia isiyofaa, kwa kumatusi na kunena menono machafu ya kumdhihaki mwamuzi wa ‘mechi’ kwenye njia ya kuelekea vyumba vya kubadili nguo, baada ya chezo huo kuisha.

Beki huyo ambaye ni majeruhi, hakuwa sehemu ya kikosi kilichoikabili Villa, lakini aliripotiwa kwa FA kufuatia tabia yake dhidi ya mwamuzi Jarred Gillett, ambaye alisimamia mchezo huo ndani ya uwanja wa Stamford Bridge.
.
.
.
#MwananchiScoop
BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags