Kocha wa Singida, Middendorp aondoka

Kocha wa Singida, Middendorp aondoka

‘Kocha’ mpya wa Singida Ernst Middendorp ameripotiwa kuondoka kwenye 'klabuni' ikiwa zimepita siku kadhaa tangu kuingia katika kazi ya kukinoa kikosi hicho huku aliyekuwa ‘kocha’ msaidizi Mathias Luke akirejeshwa nafasi ya ‘kocha’ kwa muda.

Afisa Habari wa Singida Big Stars, Hussein Masanza ajibu kuhusu kuondoka kwa ‘kocha’ huyo na kudai kuwa amepata dharura hivyo ameondoka kutatua changamoto zake binafsi ambazo zitamchukua muda mrefu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags