Kocha wa Mtibwa Sugar apewa thank you

Kocha wa Mtibwa Sugar apewa thank you

Mtibwa Sugar imempa mkono wa kwaheri Kocha Habib Kondo baada ya kusitisha mkataba wake kwa makubadiliano ya pande zote mbili

Taarifa inasema "Tunamshukuru Kocha Habib Kondo ka kipinid chote alicho fanya kazi na sisi na Mtibwa inamtakia kila la heri.

Hadi sasa Mtibwa haijafanikiwa kushinda mechi yoyote ya Ligi Kuu huku kukiwa na tetesi kuwa Zuberi Katwila anarejea kwenye timu hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags