Kocha wa Kaizer Chiefs ashambuliwa na mashabiki

Kocha wa Kaizer Chiefs ashambuliwa na mashabiki

Wadau na mashabiki wa ‘timu’ ya Kaizer Chief kutoka South Africa wamemshambulia ‘kocha’ Molefi Ntseki, baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Super Sport United baada ya kupigwa bao 1-0.

Mashabiki walimrushia chupa za maji kocha huyo ambapo ililazimika kutolewa uwachani akiwa chini ya ulinzi wa ‘polisi’ kuzuia wasiweze kumjeruhi.
Mashambulizi hayo yalikuja baada ya ‘timu’ hiyo kutokufanya vizuri tangu ‘kocha’ huyo aingie ikiwa imepata point 8 tu kwenye ‘mechi’ 7 ilizocheza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags