Kocha atimuliwa kisa timu kuondolewa AFCON

Kocha atimuliwa kisa timu kuondolewa AFCON

Chama cha mpira wa miguu nchini #Ghana kimemfukuza ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya Taifa #BlackStars, #ChrisHughton, baada ya kutolewa kwenye mashindano ya #Afcon2024 yanayoendelea huko nchini Ivory Coast.

Licha ya ‘kocha’ huyo kufukuzwa pia ‘benchi’ la ufundi limevunjwa na hivi karibuni ‘timu’ hiyo itatoa taarifa za ujio wa ‘kocha’ mpya.

‘Mechi’ yao ya mwisho katika mashindano hayo walicheza na ‘timu’ ya za Taifa Mozambigue ambapo walitoka sare ya bao 2-2, na kupelekea kushindwa kuingia 16 bora.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags