Kocha adaiwa  kuachana na ‘timu’ kisa matokea mabaya

Kocha adaiwa kuachana na ‘timu’ kisa matokea mabaya

Baada ya shinikizo kutoka kwa mashabiki na wa ‘klabu’ ya Esperance de Tunis ambao wanadai ‘timu’ hiyo haichezi mpira mzuri licha ya kutinga hatu ya makundi ya ‘ligi’ ya mabingwa barani Afrika.

‘Kocha’ wa ‘klabu’ hiyo Mouine Chaabani ameachana na ‘klabu’ hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili licha ya kuifikisha ‘timu’ hiyo hatua ya makundi.

Ikumbukwe kuwa ‘timu’ hiyo ilitinga hatua ya makundi kwa kumuondosha As Douanes Ouagadougou ya Burkina Faso Kwa Aggregate ya 1-0.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags