Rais wa Shirikisho la soka nchini #Norway Lise Klaveness, amefunguka na kueleza kuwa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) halitendi haki katika kuchagua wenyeji Kombe la Dunia.
Akizungumza na #SkyNews #Klaveness ameleza kuwa maamuzi ya wapi Kombe la Dunia litachezwa kwa mwaka 2030-2034 yamefanyika kwenye mikutano ya siri iliyoongozwa na Rais wa #FIFA #GianniInfantino kuwa hatua zote hazikuwa za haki na uwazi.
#LiseKlaveness ni mwanasheria wa #Norway na mwanasoka wa zamani ambaye aliichezea timu ya taifa ya #Norway ‘mechi’ 73 kutoka mwaka 2002 hadi 2011.

Leave a Reply