Kiti cha muundo wa nge, maalum kwa wanaobeti

Kiti cha muundo wa nge, maalum kwa wanaobeti

Kampuni ya Cluvens imetoa kiti cha ‘teknolojia’ chenye muundo wa Nge kiitwacho ‘Scorpion Computer Cockpit’ kwa dhumuni la kuwarahisishia watumiaji wa kompyuta na wanao-beti (michezo ya kubashiri) ku-relax pindi wawapo katika mujukumu yao.

Mbali na muundo wake kuwa wa kipekee, kiti hicho hufanya kazi za massage, kumpa joto na faraja mtumiaji huku bei yake ikianzia dola 3,300 hadi 4,000, ambazo ni takribani tsh8 milioni hadi tsh 10 milioni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags