Kisa maokoto ya Banda, Chippa United yaingia kwenye mfumo FIFA

Kisa maokoto ya Banda, Chippa United yaingia kwenye mfumo FIFA

‘Klabu’ ya #ChippaUnited ya nchini #AfrikaKusini imefungiwa kusajili wachezaji na Shirikisho la Soka FIFA mpaka itakapomlipa mchezaji raia wa Tanzania #AbdiBanda.

Mchezaji huyo alishinda kesi ya kuvunjiwa mkataba na ‘klabu’ hiyo, hivyo walitakiwa kumlipa fidia ndani ya siku 45. Baada ya kushindwa kutekeleza hukumu hiyo FIFA wametuma barua ya uthibitisho kuwafungia na kuzuiliwa kusajili wachezaji katika ‘timu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags