Kim Kardashian kwenye penzi jipya na mcheza mpira

Kim Kardashian kwenye penzi jipya na mcheza mpira

Tetesi zinadai kuwa nyota wa muziki Kim Kardashian yuko wenye pezi jipya na mchezaji wa mpira wa NFL, Odell Beckham Jr,baada ya kuonekana pamoja wakiwa wanabarizi.

Inadaiwa kuwa mchezaji huyo kazama kwa Kim mara baada ya kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu,Lauren Woods ambaye walibahatika kupata mtoto wa kiume mwaka 2022 .

Hata hivyo hii itakuwa si mara ya kwanza kwa Kim kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano na mchezaji wa mpira. Kwani mwaka 2007 alihusishwa na mchezaji wa mpira wa New Orleans Saints, Reggie Bush ambapo walitangaza uhusiano wao kwa watu katika msimu wa kwanza wa 'Keeping Up With The Kardashians.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags