Kim Kardashian aingia mkataba na NBA

Kim Kardashian aingia mkataba na NBA

Baada ya mwanamitindo #KimKardashian kuvunja ‘rekodi’ ya bidhaa zake za SKIMS FOR MEN kwa kuagizwa na zaidi ya watu Elfu 20 ndani ya dakika 5, hatimaye mfanyabiashara huyo ameingia mkataba na #NBA wa kutengeneza nguo za ndani.

Kupitia mitandao ya kijamii ya Chama cha Kikapu cha Taifa nchini Marekani (NBA) kinaeleza kuwa chapa ya #SKIMS imeingia katika mkataba rasmi na #NBA kwa ajili ya utengenezaji wa nguo za ndani za wachezaji.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags