Kim Kardashian ageukia kwenye uchekeshaji

Kim Kardashian ageukia kwenye uchekeshaji

Mfanyabiashara kutoka nchini #Marekani, #KimKardashian anatarajia kuonekana katika filamu za vichekesho (Komedi) baada ya kupendezwa na uigizaji huo.

Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 43 ataonekana kwenye filamu ya ‘The Fifth Wheel’ inayotarajiwa kuwa miongoni mwa filamu za comedy zitakazotoa hivi karibuni, ambayo muandishi na muongozaji wa filamu hiyo, anatajwa kuwa yeye mwenyewe.

Licha ya ujio wa filamu hiyo lakini bado tarehe rasmi ya kuachiwa kwake haijawekwa wazi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags