Kim adaiwa kumuiga Bianca

Kim adaiwa kumuiga Bianca

Aliyekuwa mke wa zamani wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest, #KimKardashian ameshutumiwa kumuiga mavazi mpenzi wa sasa wa star huyo #BiancaCensori.

Shutuma hizo zinakuja baada ya Kim ku-posti picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amevaa vazi ambalo lililokuwa limeacha baadhi ya sehemu zake za mwili kama avyaavyo Bianca.

Picha hiyo ilizua gumzo kwenye mtandao huo ambapo mashabiki walimjia juu mfanyabiashara huyo katika upande wa ‘komenti’ kwa kuimuita ‘Kim Censori’, wengi wakisema anamuiga Bianca huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema anafanya hivyo kwa sababu ya kumtega mpenzi wake wa zamani Kanye West.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags