Kilichomkuta Mkojani baada ya kufuata ushauri wa Joti

Kilichomkuta Mkojani Baada Ya Kufuata Ushauri Wa Joti

Hahaha nyieee waswahili wanasema akili za kuambiwa changanya nazo sasa bwana Mchekeshaji Mkojani amefunguka juu ya ushauri aliopewa na Mchekeshaji mwenzake Joti.

Mkojani  Amefunguka wakati akifanyiwa mahojiano na chombo cha habari amesema  kuwa Mchekeshaji mwenzake Joti aliwahi kumwambia Asishiriki Hamasa za kampeni kwani sio nzuri na Baadae Alimuona akishiriki kwenye Uzinduzi wa Kampeini  jijini Dodoma.

"Nakumbuka kipindi cha kampeni nilimpigia simu nikamwambia broo kwenye haya mambo ya kampeini tupeleke barua yetu ili tuweze kushiriki lakini alinimbia tusishiriki kwa sababu sio mambo mazuri lakini nilishangaa kumuona katika uzinduzi wa kampeni yeye na Mpoki Dodoma

Ebwanaa eeeh!!! Una neon gani la kumwambia Mkojani juu ya sakata hili lililomtokea?dondosha comment yako hapo


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post