Kevin Gates amtemea mate shabiki mwenye ujauzito

Kevin Gates amtemea mate shabiki mwenye ujauzito

Mwanamuziki kutoka Marekani Kevin Gates ameshika vichwa vingi vya habari baada ya kamera kumnasa akimtemea mate shabiki mmoja mwenye ujauzito ambae alihudhuria kwenye show yake mwishoni mwa wiki hii.

Kitendo hicho kiliwashangaza watu wengi baada ya kuona shabiki huyo mwenye moyo tofauti ambae hakuonyesha kujali hali yake ya ujauzito pia alitupilia mbali kuhusu maambukizi kama vile "Covid 19" baada yake aliamua kupokea mate hayo mazito (kohozi)  kutoka kwa mwanamuziki huyo akidai anampenda.

Vipi ungekuwa wewe ungeonyesha hivyo kwa msanii unaempenda?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags