Kesi ya ubakaji ya mwanasoka kusikilizwa leo

Kesi ya ubakaji ya mwanasoka kusikilizwa leo

Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #Barcelona na #PSG, #DaniAlves anatarajia kufikishwa Mahakamani leo Jumatatu, Februari 5,2024  mjini  Barcelona kwa tuhuma za kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 21 nchini Uingereza kwenye klabu ya Catalonia usiku wa Desemba 30, 2022.

Inaelezwa kuwa kesi hiyo imepangwa kusilizwa kwa siku tatu na takribani mashahidi thelathini wataitwa kutoa ushahidi wao kuhusiana na shutuma hizo.

Mwanasoka huyo ambaye alishikiliwa na jeshi la polisi  kwa muda wa mwaka mmoja, hapo awali alikana kukutana na msichana huyo, lakini kutokana na kuzidiwa na ushahidi , sasa anadai uhusiano huo ulikuwa wa makubaliano na kwamba alikuwa amelewa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags